V E N N A📸 Profile Banner
V E N N A📸 Profile
V E N N A📸

@vennatz1

Followers
9,915
Following
5,420
Media
3,332
Statuses
46,930

Photographer 📸 | Mpiga picha wako! | IT Man |Whatsapp 0758059332📨

Everywhere
Joined March 2019
Don't wanna be here? Send us removal request.
Explore trending content on Musk Viewer
Pinned Tweet
@vennatz1
V E N N A📸
11 days
Followers wangu sasa huu ni wa kati wa kuhakikisha tunaonana Whatsapp maana siyo mda wote nipo X☺️ Ishu ndogo ndogo kama birthday, kikao cha familia, photoshoot indoor outdoor tunakuwa tunamalizana kule siyo kama huku lazima unicheki DM na mimi iyo DM naweza kuiona baada ya wiki
Tweet media one
1
10
24
@vennatz1
V E N N A📸
4 months
Wanachuo hii imeenda😅
159
264
962
@vennatz1
V E N N A📸
13 days
Ila huyu jamaa kashindikana😅😅
117
105
579
@vennatz1
V E N N A📸
6 months
Kwaiyo jezi ya yanga ndo wameitumia kama jezi ya Tanzania 😅
47
149
560
@vennatz1
V E N N A📸
3 months
Haya matangazo huwa tunayasikiliza tu lakini watu wanatoka jasho kuyarekodi Hamna kazi rahisi kwakweli😅🙌
49
62
492
@vennatz1
V E N N A📸
10 days
Shenzi kabisa, kama hauna D mbili hauwezi kuelewa😅
15
55
457
@vennatz1
V E N N A📸
3 months
Leo sanamu limetolewa😅,ila masanja anajua kujigandisha😅😅
37
49
425
@vennatz1
V E N N A📸
5 months
Hadi leo sijajua hii ilikuaje kona😅🙌
60
78
374
@vennatz1
V E N N A📸
5 months
Kama unalipwa laki moja kodi ya 10,000
Tweet media one
29
13
358
@vennatz1
V E N N A📸
6 months
Hapa sasa honey inaimbika kweli🙃 Nazani sasa mmemuelewa yule jamaa wa EFM @chapo255
42
45
351
@vennatz1
V E N N A📸
1 month
Hamna mkate mgumu mbele ya chai 😅 Jamaa kaopoa kirahisi sana angalia hadi mwisho😎
39
48
334
@vennatz1
V E N N A📸
29 days
Dada wawatu alikuwa ameshaanza kuvimba mwishoni anatajwa mtu mwingine 😅 Haya mambo hayana mwenyewe😎
66
48
315
@vennatz1
V E N N A📸
24 days
Ila huyu jamaa😅 kwani passo imewakosea nini😅 Msikilize👇☺️
22
51
315
@vennatz1
V E N N A📸
1 month
Dada zetu wanazungukana sana☺️ Angalia hadi mwisho alivyo jichanganya kwa rafiki yake😎
49
34
300
@vennatz1
V E N N A📸
4 months
Anatokea mbongo anatuambia Christmas ni haram Awasikilize waislamu wenzake
54
54
275
@vennatz1
V E N N A📸
4 years
TAFADHALI SOMA MPAKA MWISHO👇 Kijana mmoja aliekuwa akifanya kazi katika jeshi, alikuwa akidhalilika kila wakati kwasababu tu alimuamini mungu Siku moja kiongozi/kapteni wa jeshi alitaka kumdhalilisha mbele ya wanajeshi wenzake na alimuita kijana huyo na kumuambia 👇
Tweet media one
69
44
261
@vennatz1
V E N N A📸
7 months
@brfootball Chelsea 🫡
Tweet media one
1
2
270
@vennatz1
V E N N A📸
5 months
Ila Millard kwanini kaweka picha ya iyo kanga nikama kuna kaujumbe😅
Tweet media one
14
15
268
@vennatz1
V E N N A📸
3 months
Ila hawa jamaa wamejua kufikisha ujumbe😅
41
36
272
@vennatz1
V E N N A📸
4 months
Kulikuwa kuna haja gani yakukaa kwenye mvua😅 2025 inakaribia😎
94
36
262
@vennatz1
V E N N A📸
6 months
Hii style nimeipenda
19
26
258
@vennatz1
V E N N A📸
8 months
Tumalize utata...... Kuna mtu anajiuliza ipi simu yenye Camera kali kati ya ......... iPhone 15 Pro Max na Samsung Galaxy s23 Ultra🤔 Twende kazi....... ✓ Iphone 15 pro  ina camera yenye uwezo wa 48MP ✓ Sumsang s23 Ultra ina camera yenye uwezo wa 200MP Hapa hata sihitajiki
Tweet media one
Tweet media two
52
50
251
@vennatz1
V E N N A📸
11 days
Huyu ndo dada wa TABATA sasa anawapa picha halisi ya wadada wa huko😅
10
34
251
@vennatz1
V E N N A📸
25 days
Mnaokunywa pombe ebu tupeni siri za mafanikio yenu😅
15
47
251
@vennatz1
V E N N A📸
3 months
Atakama ni wewe utaacha kusema umetupiwa majini
7
21
241
@vennatz1
V E N N A📸
12 days
Marekani huwa wanapambana sana wasifanane na wengine😎
13
13
244
@vennatz1
V E N N A📸
1 year
Watoto hawajalala😅
37
27
224
@vennatz1
V E N N A📸
2 months
UBUNTU- BOTHO namna waliteseka😅😅
19
51
228
@vennatz1
V E N N A📸
3 months
Kwaiyo mmemkatalia dada wawatu😅
36
35
222
@vennatz1
V E N N A📸
1 month
Sawa ni content ila inaukweli mwingi ndani yake😅
23
25
220
@vennatz1
V E N N A📸
3 months
Comment chochote 😅
Tweet media one
27
15
210
@vennatz1
V E N N A📸
3 months
Wabongo kwa majibu🙌😅
Tweet media one
19
19
195
@vennatz1
V E N N A📸
1 month
Tuache masihara kiswahili nikigumu sana😅 Hapa vitu vingi sijavielewa wanamaanisha nini😎
13
25
193
@vennatz1
V E N N A📸
5 months
Mshindwe nyie tu watumishi wanawafikishia ujumbe kwa njia zote😊
18
44
179
@vennatz1
V E N N A📸
6 months
Ajali imetokea riverside Noah na lori ila watu kama kawaida wanajaa kwenda kushuhudia
Tweet media one
18
13
174
@vennatz1
V E N N A📸
6 months
Ila watu 😀😀🙌Ahmed ali wamemuimbisha tabulele😅
16
32
174
@vennatz1
V E N N A📸
28 days
Jiji lina bodaboda nyingi kuliko magari😎 Wataalamu wa location hapa ni wapi☺️
63
18
170
@vennatz1
V E N N A📸
12 days
Hila kwenye huu utani nikama kuna kaukweli kwa mbali hivi😎 Vita ya zombi na Abah bado inaendelea😅
3
12
171
@vennatz1
V E N N A📸
2 months
Huwa nasikia tu wanaume wanambetia mke ila hii ni mwanamke kambetia mume wake simba ikifungwa dada wakazi amchukue😅
16
42
166
@vennatz1
V E N N A📸
2 months
Mwamba hapa kaupiga mwingi na atarudi kweli kama alivyotoka😅
12
21
166
@vennatz1
V E N N A📸
3 years
Akisema atakubariki hakuna atakae zuia .. .. Mungu ni mwema🙏
11
5
147
@vennatz1
V E N N A📸
6 months
@mkandamizaji Hapo chaajabu nini masanja Kanisa lako na nyumbani kwako vinafanana?
19
4
164
@vennatz1
V E N N A📸
13 days
Kwani huyu ni mtangazaji au daktari🤔
36
14
146
@vennatz1
V E N N A📸
6 months
Ingia TikTok fuatilia video za hivi utanishukuru baadae😊
7
28
145
@vennatz1
V E N N A📸
6 months
Kaenda kujificha nyuma ya wenzake haamini kama kapona😅
39
25
145
@vennatz1
V E N N A📸
5 months
Watu wengine hawaporwi kizembe
15
17
143
@vennatz1
V E N N A📸
4 months
Rayvanny typing..........😅 Ila hawa jamaa wabunifu mnoo😅
16
12
137
@vennatz1
V E N N A📸
3 years
BRAND NEW 🚨🚨🚨 Alikiba ft Mayorkun - Jealous🎶🎶🎶
Tweet media one
0
3
134
@vennatz1
V E N N A📸
9 days
Kijana wa hovyo anauliza nani alikuwa anagawa maksi kwenye maeneo😎 Kinondoni B, Mwananyamala A, Kimara B😅
8
22
139
@vennatz1
V E N N A📸
4 years
Good work bro kama ulaya vile
@IdrisSultan
Idris
4 years
Jana kwa mara ya kwanza nimefanya limited invitations nikaalika partners, investors & media kuja kuangalia new episode ya “NAKUPENDA KUFA”. nilialika watu 50 ila wakafika 248. Thank you for the love and support ya hii njia mpya. Yote ni katika kurudisha heshima ya movies in EA🙏🏽
Tweet media one
41
50
883
2
2
132
@vennatz1
V E N N A📸
11 days
Naomba kuuliza hiki kina tofauti na kile wanachoagiza bajaji nakuziunganisha wenyewe hapa tz🤔
Tweet media one
14
9
135
@vennatz1
V E N N A📸
3 years
Maud elka feat Alikiba - Songi Songi remix🎶🎶🔥🔥
Tweet media one
3
6
122
@vennatz1
V E N N A📸
8 months
Jana nilikuwa kariakoo majira ya jioni Migambo wakawa wanapita na gari wanawakamata machinga wale huwa wanaweka biashara zao pembezoni mwa barabara ya kutoka msimbazi kwenda gerezani Aisee nilikuwa nawaonea huruma wale vijana walio kamatwa Wanakubeba wewe na biashara yako na
Tweet media one
18
15
127
@vennatz1
V E N N A📸
2 months
Nisaidie kuangalia kama chama anahusika kwenye haya magoli bora ya group stage😎
10
18
126
@vennatz1
V E N N A📸
1 year
Vijana muoe mnaona baraka hizo za siku yakwanza😅
19
17
120
@vennatz1
V E N N A📸
4 years
kwa kile ambacho hakina uhai Unaweza kudhani kuna mambo bado hayawezi kutokea LAKINI KWA MUNGU KILA JAMBO LINAWEZEKANA.' --Kwa mtu anae soma hii ninakuombea kwa mungu afanye muujiza wenye kuwashangaza watesi wakomaishani mwako leo. --MWISHO.
11
4
115
@vennatz1
V E N N A📸
2 months
Kila kazi inakazi🥰 Au nilieee!😅
10
18
118
@vennatz1
V E N N A📸
5 months
Tanesco wakiwa saiti😅😅
13
25
117
@vennatz1
V E N N A📸
8 days
Apple wametumia tangazo kutangaza tangazo
14
5
115
@vennatz1
V E N N A📸
6 months
Wakati watumiaji wa X (Twitter) wanapambana na content ili wapate maokoto ya Elon Mwamba huyu alikubali kufukiwa siku saba kaburini ili atengeneze content ya YouTube Angalia video👇
12
33
114
@vennatz1
V E N N A📸
7 months
Kuna mshikaji wangu alikuwa na mpenzi wake ⤵️ Akamtafutia kazi kwenye chuo kimoja hapa Dar Kazi ilikuwa ni ya canteen, yani kupika msosi wa hapa na pale Baada ya kama mwezi mmoja demu akaanza kubadilika tabia Usiku akipigiwa simu hapokei na kuna.muda ukifika hata sms hajibu
15
9
110
@vennatz1
V E N N A📸
6 months
Kuna hako katoto kanasema hapo mwanzo "misomisondo unaatari nitakupa daada" Lafudhi ya kisukuma kabisa😅
8
17
113
@vennatz1
V E N N A📸
8 months
Kuna hawa jamaa wametinga Suruali za vitambaa mashati Na tai wanakamata bajaji na magari ya mizigo sijui ni maafisa gani hawa
Tweet media one
12
9
106
@vennatz1
V E N N A📸
1 month
Kama alikiba angepewa verse kwenye ngoma ya mapozi hivi ndo angefanya😎
5
28
109
@vennatz1
V E N N A📸
2 years
12
5
107
@vennatz1
V E N N A📸
12 days
Hali ya hewa 🥳 📍Mbezi Luis stand, Dar es salaam Picha za simu📸
Tweet media one
15
18
106
@vennatz1
V E N N A📸
7 months
Riverside unapita msako hapa wakuwasafisha wafanya biashara wadogo🙌
Tweet media one
19
16
103
@vennatz1
V E N N A📸
4 months
@millardayo Wanalamba teuzi wakimbizi wazawa wanalamba viatu
7
1
100
@vennatz1
V E N N A📸
4 months
Hivi hii shauri moyo ipo mkoa gani maana hii ni hatari 😅
26
17
92
@vennatz1
V E N N A📸
3 years
Ukipata shortcut pita nayo hamna tuzo ya mtesekaji bora.
5
4
80
@vennatz1
V E N N A📸
4 months
Shetani kwisha habari yake😅
Tweet media one
12
11
90
@vennatz1
V E N N A📸
5 months
Mungu ni mwema kumekucha 🙏☺️
4
13
86
@vennatz1
V E N N A📸
1 year
@FKihamu Huwa naenjoy kusoma unacho kiandika bro💪
2
2
88
@vennatz1
V E N N A📸
4 years
Kama umeipenda Comment neno "AMENI" kisha Retweet ili iwafikie wengi zaidi. BARIKIWA🙌 #vennatz Credit ( #IG ) Follow @vennatz1 📌
16
11
85
@vennatz1
V E N N A📸
9 months
Ndo kwenyewe...
Tweet media one
6
2
82
@vennatz1
V E N N A📸
4 months
Lazima mmoja leo arudi kambini jangwani😊
Tweet media one
4
10
84
@vennatz1
V E N N A📸
12 days
Kuna watu wanaishi na kuna wengine wanaishia😅 Kwanini👇
3
7
85
@vennatz1
V E N N A📸
9 days
Moshi 🥹
Tweet media one
16
10
84
@vennatz1
V E N N A📸
2 years
It's my Birthday 🎉
Tweet media one
11
6
79
@vennatz1
V E N N A📸
1 month
Yani harmonize anamuhekea muheshimiwa ukungu😅
Tweet media one
7
4
81
@vennatz1
V E N N A📸
5 months
Mbona barabara kubwa za kwenda mikoani vibanda vya polisi huwa vinafichwafichwa kichakani
Tweet media one
19
10
82
@vennatz1
V E N N A📸
6 months
Dah Wapumzike kwa amani 😔🙏🏽
Tweet media one
9
12
81
@vennatz1
V E N N A📸
5 months
Graphics designer wa simba ndo kwanzaa yupo kwenye computer muda huu ana design 😊
Tweet media one
6
3
77
@vennatz1
V E N N A📸
5 months
National Institute of Transport 📸
Tweet media one
8
4
79
@vennatz1
V E N N A📸
4 months
Tanesco ukiwa ubungo wanakata umeme ukiondoka ukaenda kimara wanarudisha ubungo wanakata kimara Yaani ilimradi tu uteseke.
6
7
79
@vennatz1
V E N N A📸
3 years
Ukiona umepewa zawadi ya saa tafsiri yake wewe haujali muda
6
1
71
@vennatz1
V E N N A📸
4 months
@millardayo Tuachane na mpira tuwekeze kwenye mashamba ya miwa
7
5
77
@vennatz1
V E N N A📸
7 months
Hi... Wedding day 🤗
Tweet media one
5
8
78
@vennatz1
V E N N A📸
7 months
@millardayo Wapumzike kwa amani Mwanzo nilizani ni ule msafara niliona unatoka dar😎
1
2
79
@vennatz1
V E N N A📸
10 months
Baada ya miaka kibao kupita leo ndo naielewa hii mistari😅🙌
@OfficialAliKiba
Alikiba
10 months
Now days kila mtu yuko single Shimo utakalo ingia pekeyako ni kaburi tu 😎 #Sumu #KingKiba
111
190
2K
1
3
78
@vennatz1
V E N N A📸
2 months
Kisoka tumeachwa mbali saaaaana😅
11
4
78
@vennatz1
V E N N A📸
7 months
@swahilitimes Muimba taharabu tu, una mwaka wa pili haujabeba kikombe ndani ya nchi uko Africa unaposemea hata kombe la shirikisho haujafika nusu fainali unajiwekaje kundi moja na Al Ahly unaizarau Yanga ambayo imekuzidi hadi makombe ya ndani😅
7
2
77
@vennatz1
V E N N A📸
5 months
Huyu si ni mbappe kabisa na raisi wa boli🙃
Tweet media one
7
7
75
@vennatz1
V E N N A📸
6 months
Ila wa haya 😅 😅 eti marehemu alikimbizwa hospital nakulazwa wodi ya VIP😅
7
12
75
@vennatz1
V E N N A📸
4 months
Nyoka hapa kayatimba😅
12
18
75
@vennatz1
V E N N A📸
3 years
TTCL walikuwa wakwanza kurudisha vifurushi vyao vya awali GB unapata zakutosha ila mtandao utajua mwenyewe pakuupata🚮🚮
6
2
73
@vennatz1
V E N N A📸
8 months
Silaa nyingine zilizopo ukumbini 😎
Tweet media one
16
10
75
@vennatz1
V E N N A📸
24 days
Walivyokuwa wadogo walikuwa wanashindana kuwahi maziwa, wamekua sasa wanashindana kuwahi bia😅 Angalia video👇
11
17
76
@vennatz1
V E N N A📸
2 months
Kumbe sijaona vyote☺️
Tweet media one
4
3
73
@vennatz1
V E N N A📸
4 years
Hongera kwako bro @mpambazi_ kulata followers 10k siyo kazi ndogo kabisa👏👏
@mpambazi
C H A M P
4 years
Kama unanipenda nambie nimebakiza followers wangapi kufika 20k?.🤣🤣
23
7
291
1
1
72