C H A M P Profile Banner
C H A M P Profile
C H A M P

@mpambazi

Followers
170,479
Following
1,346
Media
8,932
Statuses
200,040

Founder & CEO - @champ_products |Entrepreneur |Leader |Natural Beauty Expert |Vegan |Actor | Model | Ambassador of Christ |📩: mpambazian @gmail .com

Africa
Joined September 2017
Don't wanna be here? Send us removal request.
Explore trending content on Musk Viewer
Pinned Tweet
@mpambazi
C H A M P
3 years
I came from a local village, old house, poor family with sad stories. Am hustling not to impress or being in competition, am tryna create my own legacy. CHAMP
Tweet media one
163
327
3K
@mpambazi
C H A M P
2 years
Gabo Zigamba alitabiri tunashinda 4. Lakini 1-0 imefaana
Tweet media one
29
66
3K
@mpambazi
C H A M P
2 years
Official Black model wa @vunjabei_
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
166
203
3K
@mpambazi
C H A M P
3 years
Nimeitwa TBS na nimetii wito.
300
71
3K
@mpambazi
C H A M P
2 years
Nimeweza hili sio kwa ujanja wangu. Kwanza namshukuru Mwenyezi Mungu asie shindwa na yote amekua akiniambia usiogope fanya kwa uwezo wako mengine nimwachie yeye na hakika haniachi.
Tweet media one
191
344
2K
@mpambazi
C H A M P
2 years
Huyu Fetty Densa nimpe mafuta ya nazi kama zawadi akirudi Tz kanifurahisha sana leo au mnasemaje waungwana.?
Tweet media one
90
46
2K
@mpambazi
C H A M P
11 months
"Nimechanganyikiwa kabisa. Nilidhani tukifa wote tutazikwa futi 6 chini ya ardhi hadi nilipo kutana na hii video."👇🏿
Tweet media one
130
119
2K
@mpambazi
C H A M P
2 years
This is Simba.🔥🔥👊🏿
Tweet media one
43
37
2K
@mpambazi
C H A M P
4 years
KONA YA MMACHINGA. Gazeti la Mwananchi toleo la leo👇
Tweet media one
185
175
2K
@mpambazi
C H A M P
2 years
New Office in Dar es Salaam.🙏🏿 Come have conversations with me here. #CHAMP 👊🏿
Tweet media one
Tweet media two
130
182
2K
@mpambazi
C H A M P
3 months
Happy women's day my Ex. Mwanamke uliependa pesa zangu za sabuni ila hukunipenda mimi.😁
Tweet media one
282
68
2K
@mpambazi
C H A M P
4 years
Kuna mwana kasema eti kundi moja la ROSTAM nisawa na WCB wote pamoja na Redio yao.🤣
257
64
2K
@mpambazi
C H A M P
3 years
Barua yangu ya wazi kwa @kigogo2014 Sina shaka ya kuanza kujitambulisha kwa kuwa wanifahamu. Nachukua muda huu kukuandikia yafuatayo tafadhari naomba soma barua yangu
330
189
2K
@mpambazi
C H A M P
1 year
Leo kwa mara ya kwanza tangu nazaliwa nimeingizwa kwa hicho kidude na nimewekwa kwa dakika 45 tu hapa Muhimbili. niko salama wazee ila ukiwa unaomba usinisahau.🙏🏿
Tweet media one
224
80
2K
@mpambazi
C H A M P
4 years
@moodewji #MoGifts2020 mimi Andrew Mpambazi nimuhitimu wa chuo kikuu cha Dar es salaam nimeamua kujiajiri kama mjasiriamari mdogo kwa kutengeneza sabuni za Kigoma na kuzisambaza kwenye mikoa michache ya Tanzania ukiniwezesha nitaweza kuzalisha nyingi na kuwafikia wahitaji wengi @moodewji
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
159
1K
2K
@mpambazi
C H A M P
3 years
Sihitaji huruma yenu nyinyi mnaohisi nimekosea maana sintoweza kuwa mfungwa wa mawazo kama nyinyi ila nahitaji sapoti kwa wale wanaojua kuwa niko sahihi na ninapaswa kukipigania. Skieni kwani sijafunzwa kuogopa kusema ninacho amini ni sahihi nitasema "Till I Die"
360
112
2K
@mpambazi
C H A M P
3 years
Kama uko tayari kuona @diamondplatnumz akishinda #betawards2021 gonga like na retweet hapa. Na kama kumshabikia Chibu kwa hili ni dhambi Mungu aniadhibu alafu nyie awape yote yalio mema milele.
111
268
2K
@mpambazi
C H A M P
4 years
Wife😋😋
Tweet media one
Tweet media two
233
39
2K
@mpambazi
C H A M P
3 years
Msiwabeze wanao cheka na kufurahi sasa maana walilia huko nyuma na hamkuwasaidia kulia.
94
170
2K
@mpambazi
C H A M P
2 years
Hakika Vunja bei umeniweza na jersey hata sijaipata sasa kesho naendaje kukaa VIP sina uzi mpya.😬😬
Tweet media one
139
44
2K
@mpambazi
C H A M P
4 years
Wapwa tuinuane kwa Rts naombeni hii Samsung A10's naitaka for sure. Kindly by ijumaa niwe na na RTs nyingi. Nikishinda, hii simu (Samsung) nayotumia sasa nitaitoa kwa Mpwa mmoja hapa kwa utaratibu tutaokubaliana. Twende kazi. #NBCBARAKOACHALLENGE
Tweet media one
192
2K
2K
@mpambazi
C H A M P
3 years
Mimi ni kijana nimesoma na kulingana na ugumu wa ajila nikaona fursa ipo kwenye ujasiriamali nikajiajili na kuajili vijana wenzangu pia ili kusogeza Maisha na kujipatia Ugali wa kila siku. Maamuzi yangu ya kuamua kusimama na Diamond PlatnumZ haikua kwaajili ya vita bali Utanzania
404
78
2K
@mpambazi
C H A M P
2 years
Derby Day Muha mmoja wa Kigoma #NguvuMoja 🦁
Tweet media one
50
47
2K
@mpambazi
C H A M P
4 years
Mimi nimtanzania mwenzenu jamani yani Mnaonesha kunichukia hadharani hivyo kisa tu nafurahia maisha yangu baada ya shida nyingi nilizopitia, Anyway baada ya yote haya nimepanga kuandaa kitabu changu na chuki zenu zitakuemo jiandae kukisoma.
231
70
2K
@mpambazi
C H A M P
8 months
Juzi nilichangia Damu kwa ajili yake bila malipo na sijawahi kufahamiana nae kabla hata kumwona tu. MUNGU ampokee huyu brother leo nimepokea taarifa kuwa kafariki pale Mlonganzila 😭🙏🏿
Tweet media one
121
73
2K
@mpambazi
C H A M P
2 years
Simba inamashabiki zaidi ya 50B na ambao ni mashabiki dam dam hawapungui 30B Tanzania nzima. Tukiamua kila shabiki Damdam kuchangia Tsh. 5,000/= tunajenga Viwanja 2 vikubwa kila mkoa.
731
57
2K
@mpambazi
C H A M P
4 years
I want a lifetime with you. #Penzini
Tweet media one
175
38
2K
@mpambazi
C H A M P
2 years
Shughuli za kiwandani na watu wangu wa nguvu. #ChampNaturalProducts 🔥
Tweet media one
86
128
2K
@mpambazi
C H A M P
2 years
@HKigwangalla mwaka ambao utachaguliwa na wananchi kuwa Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania mimi nitakuwa Waziri wa viwanda na biashara. 🙏🏿
Tweet media one
172
73
2K
@mpambazi
C H A M P
11 months
Nimeitazama mara 1000+ Video kwenye comment 👇🏿
Tweet media one
80
69
2K
@mpambazi
C H A M P
3 years
Nakumbuka May 6, 2019 uliwahi nambia "Kila mtu anayo bahati maishani ila ukubwa wa bahati zetu unategemea juhudi zetu." Mr DC
Tweet media one
46
38
2K
@mpambazi
C H A M P
2 years
CHAMP Maasai
Tweet media one
35
47
2K
@mpambazi
C H A M P
3 years
HAPPY BIRTHDAY TO ME! And Happy 4/22 to the rest of the world✊
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
294
80
2K
@mpambazi
C H A M P
3 years
Say no more
Tweet media one
Tweet media two
75
58
2K
@mpambazi
C H A M P
4 years
Usafi umemalizika sasa naanza kufollow wapwa wa kweli weka handle yako hapo twende sawa.
521
53
2K
@mpambazi
C H A M P
2 years
Arusha Town.✊🏿
Tweet media one
72
35
1K
@mpambazi
C H A M P
4 years
Nigeria wametukumbusha yakuwa tunapaswa kusimama na taifa sio na viongozi.
42
106
1K
@mpambazi
C H A M P
4 years
Kumbe kilicho mleta Diamond platnumz KIGOMA ni pamoja na kumpigia kampeni Magufuli. Hadi Polepole nae alikuepo, mala nikasikia CCM oyeeeeeeeee Magufuli oyeeeeee
174
58
1K
@mpambazi
C H A M P
3 years
Jina kubwa lolote halipatikani duniani bila vizuizi kadha wa kadha.
166
57
1K
@mpambazi
C H A M P
7 months
Mimi nasema hadharani bila kufukuza hawa pale Simba sinto shabikia tena mpira wa Bongo. Naipenda Simba tangu nazaliwa ila siwezi vumilia hawa watu kuharibu club yetu nikakaa kimya hata kidogo. Niko pale wakiondoka nitarudi kushabikia Simba.
Tweet media one
Tweet media two
203
170
1K
@mpambazi
C H A M P
4 years
Namshukuru Mungu anazidi kunipambania leo kwenye Gazeti la Nipashe wameweka habari yangu kwenye ukurasa mzima.✊🏿✊🏿 Vijana wenzangu tupambane sana dunia tunaidai hela nyingi
68
68
1K
@mpambazi
C H A M P
2 years
MIEZI 3 BILA KUZALISHA SABUNI ZA CHAMP SOAP. UZI 1/9 -tafadhari soma mpaka mwisho.👇 #CHAMPsoap
Tweet media one
444
311
1K
@mpambazi
C H A M P
4 years
CHAMP SOAP is loading..... Itakuwa reja reja kwa jumla bei rahisi ya Kigoma Mikoani hadi mijini nitatuma kuwa tayari. Press your order now : 0759643067
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
174
232
1K
@mpambazi
C H A M P
2 years
Nimefanya kosa kubwa kumwambia mwanamke sina hela naapa sinto rudia mnisamehe wanaume wenzangu huu utoro wa vikao umeniponza.😔😔
Tweet media one
102
38
1K
@mpambazi
C H A M P
2 years
Onyesha love kwa huyu Inonga hapa.
Tweet media one
25
33
1K
@mpambazi
C H A M P
4 years
BARUA KWA MAGUFULI Chuki hufunga akili. Inazuia ubunifu wowote wa mbinu. Viongozi hawana nafasi ya kuchukia --kwenye hii miaka 5 ya uongozi wako kumekuwa na chuki za wazi kabisa kati ya wana CCM na UPINZANI WAKO MPAMBAZI THREAD 👇🏿
165
155
1K
@mpambazi
C H A M P
1 year
First pic was me fighting for New Simba jersey in VunjaBei store Sinza.. Second pic is me in new Simba Jersey deal as an VunjaBei Ambassador. 🔥 #InGodWeTrust 🙏🏿
Tweet media one
Tweet media two
64
61
1K
@mpambazi
C H A M P
4 years
Account ya Zack inatumika vibaya sana naomba uchague maneno ya kutweet. Juwa kipindi hiki ni cha mpito tu. Anae kupenda anakwambia ukweli kabla mambo hayaja aribika. Sikupangii ila nakushauri kama Rais wangu wa Wapwa.🤘 nakupigia simu kukwambia maneno haya❤❤
147
74
1K
@mpambazi
C H A M P
4 years
Nitapiga kura asee. Lazima nipige kura hata mvua inyeshe nitapiga kura na nitairinda kura yangu.
64
76
1K
@mpambazi
C H A M P
2 years
Hakuna mzazi mwenye watoto kumi akawa tajiri.
405
31
1K
@mpambazi
C H A M P
3 years
MADE IN TANZANIA 🔥🔥🔥
Tweet media one
107
108
1K
@mpambazi
C H A M P
4 years
Kama Waziri Mkuu napenda kuwajuza Wapwa yakuwa tumepata ugeni:- -Masanja Mkandamizaji -Nikkwapili -HK Kigwangalla -Lady Jay Dee -ROMA Nao wamejiunga rasmi nawako excited kuwa miongoni mwa Wapwa. Tuwakaribishe kwa shangwe.
239
66
1K
@mpambazi
C H A M P
4 years
UZI👇🏿 Mimi Andrew Mpambazi, leo napenda kuwakaribisha katika bidhaa yangu mpya kabisa kutoka katika brand yangu ya THE CHAMP, na leo napenda kuitambulisha rasmi sabuni yangu mpya ya Kuogea yaani #CHAMPsoap , sabuni asilia isiyokua na kemikali na rafiki kwa kila mmoja Endelea👇🏿
Tweet media one
151
356
1K
@mpambazi
C H A M P
2 years
Tunazindua mafuta ya Champ jumapili ya trh 4 wiki hii. Je umealikwa?
205
266
1K
@mpambazi
C H A M P
7 months
#MangunguAndTryagainOut Kama unaungana na mimi hapo juu weka like na Repost hapa. Alafu reply hashtag hii👆🏿 #NguvuMoja #ComeOnSimba
Tweet media one
Tweet media two
162
482
1K
@mpambazi
C H A M P
2 years
Tafuta pesa ili usiende Bar umevaa suluari.
134
37
1K
@mpambazi
C H A M P
4 years
Tanzania kuna wasanii wakubwa wawili tu 1. Alikiba (king himself) 2. Harmonize (konde boy) Ukibisha chukua kamba jinyonge.
297
53
1K
@mpambazi
C H A M P
3 years
“Nimesakrifai maisha yangu kwaajiri ya watanzania masikini” ….KUMBE🤣🤣🤣
110
62
1K
@mpambazi
C H A M P
3 years
Watu wema najua mpo humu mnisaidie: hizo picha zote zipo GOOGLE na zina magonjwa yake hebu kachunguze uniletee majibu hapa kwa upendo.🙏❤️❤️
145
28
1K
@mpambazi
C H A M P
2 years
Happy Birthday To Me.♉✊🏿
Tweet media one
Tweet media two
191
64
1K
@mpambazi
C H A M P
4 years
Tuambie neno lolote.
Tweet media one
163
24
1K
@mpambazi
C H A M P
3 years
Ikiwa mshahara wako ndio chanzo chako pekee cha mapato, kuna mstari mwembamba sana unaokutenganisha wewe na umasikini.
115
107
1K
@mpambazi
C H A M P
3 years
Haujaishi kama haujafanya unachokipenda maishani.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
117
38
1K
@mpambazi
C H A M P
2 years
Mwanaume kulala ukutani ni ujinga.
193
26
1K
@mpambazi
C H A M P
3 years
Nipo mlimani city muda huu kuna kijana kanisogelea mchafu kimavazi na kanambia nimsaidie nauli aende mbezi mwisho ndio kwao sasa sikuhitaji kumdadisi nimetoa buku moja nikampa, nimeenda mbele kuna kitu natafuta madukani Ile narudi nyuma namkuta anaomba wengine nauli. WTF🤯
198
37
1K
@mpambazi
C H A M P
4 years
Siri 4 za mafanikio yangu 1. Kujituma 2. Kuto kata tamaa 3. Kusaidia wengine 4. Kujipenda
Tweet media one
101
66
1K
@mpambazi
C H A M P
4 years
Amkeni amkeni Nimeonana na Ruby huku.😂😂
Tweet media one
138
24
1K
@mpambazi
C H A M P
2 years
Ambassador @AppNetworth
Tweet media one
67
66
1K
@mpambazi
C H A M P
3 years
Yaani umelala kabisa kwenye godoro la 6X6 na huna mtaji wa kufanyia biashara ndogo ndogo!?
174
31
1K
@mpambazi
C H A M P
2 years
Ndoa itafanyika kijijini kwa bibi Kigoma ili tusipoteze pesa zetu nyingi kwenye sherehe kubwa alafu tuanze kulia njaa.💙💙 Tumeanza kufanana
Tweet media one
Tweet media two
239
31
1K
@mpambazi
C H A M P
3 years
Lazima ukubali kuwa kuna watu wanapenda Ufanikiwe. Thank you @Sirjeff_D nilichelewa sana kuchota baraka na busara zako. 🙏🏿 Tuishi
Tweet media one
Tweet media two
41
67
1K
@mpambazi
C H A M P
4 years
Diamond platnumz tunampa miaka 2 tu Konde boy anachukua ufalme wake.
159
21
1K
@mpambazi
C H A M P
4 years
Kwenye hili bus mwenyewe ndio nimevaa mask.😭😭 abilia wananishangaa utafikiri nimebeba kikapu cha Corona.
116
33
1K
@mpambazi
C H A M P
3 years
CHAMP SOAP ingekuepo mpaka sasa ingekua imefikisha mwaka mmoja na wiki kadhaa.
157
122
1K
@mpambazi
C H A M P
3 years
bff, Somewhere in Africa.
Tweet media one
103
32
1K
@mpambazi
C H A M P
4 years
Napenda namna Nigeria wanavyo ungana kupigania amani nchini mwao. Wasanii wao wako mstali wa mbele sana
62
55
1K
@mpambazi
C H A M P
4 years
Hivi namba ya Mama yako umeisevu vipi kwa simu yako.?
361
24
1K
@mpambazi
C H A M P
2 years
Mwanjelwa sokoni.👊🏿👊🏿
Tweet media one
60
55
1K
@mpambazi
C H A M P
3 years
Dondosha lipicha lako limoja la kiafrika tusherehekee #AfricaDay
Tweet media one
191
21
1K
@mpambazi
C H A M P
4 years
Dar Ina wanawake milioni 5 wanaume milioni 1 alafu unapiga nyeto
139
22
1K
@mpambazi
C H A M P
3 years
Morogoro road imeonja damu yangu.😬
138
17
1K
@mpambazi
C H A M P
4 years
BARUA KWA JESHI LA POLISI Kupotea Ben Saa8, Azory n.k kuuliwa kwa Daniel John, Godfrey, Aflonce Mawazo, Akwilina, miili kukutwa ufukweni mwa Bahari kama Cocobeach na Bagamoyo. Kutekwa Mo, Roma, Mdude, Nondo, n.k haya yamewatia doa kwenye miaka hii 5 ya magufuli. WAKO MPAMBAZI
128
103
1K
@mpambazi
C H A M P
4 years
Mzigo wa #CHAMPsoap tayari umepakiwa kwenye Bus ili kwenda TANGA.
Tweet media one
39
53
1K
@mpambazi
C H A M P
4 years
Itakua ni safari ya Masaa 5 kwenye Ndege just imagine ni mbali kiasi gani hiyo Nchi ilipo,!! Anyway nitakwenda Dubai leo. MUNGU niongoze vyema
122
23
1K
@mpambazi
C H A M P
3 years
Chuki haitibu maumivu ulionayo bali inatesa mwili na akili zaidi na mtu mwenye chuki akifariki anaanza kunuka siku hiyo hiyo. Acha chuki tuishi
116
47
1K
@mpambazi
C H A M P
2 years
Ili uwe tajiri pesa zako mpe mwanamke wako akutunzie.
223
52
1K
@mpambazi
C H A M P
4 years
Dhumuni langu ilikua ni kuonesha yakuwa kila mwenye ndoto anaweza ifanikisha lakini watu wameipokea safari yangu kitofauti sana imekua chuki sasa, naomba tuishie hapa yaliobaki ni mambo yangu na sinto washirikisha tena mpaka nitaporudi, ila sasa tutajadiri mambo mengine tu.
157
26
1K
@mpambazi
C H A M P
2 years
TABORA 🔥🔥
Tweet media one
79
36
1K
@mpambazi
C H A M P
3 years
Kwenye hizo tuzo @diamondplatnumz lazima aongee kiswahili hivyo ni faida kwa taifa. 🔥🔥
136
35
1K
@mpambazi
C H A M P
2 years
Code👊🏿
Tweet media one
55
31
1K
@mpambazi
C H A M P
4 years
Zack sitaki kuamini kama ni wewe unae tumia hii account maana umekosa ubinadamu kabisa umekuwa mchonganishi na mchochezi wa mambo ya hovyo hii sio sawa mtu kwenda kumuona magonjwa ni vibaya kisa mpinzani. Shame on you brother🙌🙌
@mzawablog
Mzawa Blog Tz
4 years
hapa tunaenda na JPM tu.
Tweet media one
202
22
559
227
134
1K
@mpambazi
C H A M P
4 years
BARUA KWA SPIKA Uliipiga teke katiba, Bunge limekosa mvuto kabisa yaaani kabisa saivi tunaona mipasho ya kwenye taarabu ikiendelea. Miaka hii 5 hukuitendea haki bora umemaliza uondoke aje mwingine Acha uwoga. WAKO MPAMBAZI
120
110
1K
@mpambazi
C H A M P
4 years
Story gazetini. Baada ya gazeti la MWANANCHI kuniita na kunihoji na gazeti kutoka trh 1 octoba 2020 nilipokea simu kutoka gazeti la NIPASHE wakiitaji kunihoji juu ya ujasiriamali wangu wa Sabuni nafurahi leo ijumaa trh 9 octoba 2020 gazeti lao limetoka na taarifa zangu. UZI
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
106
113
1K
@mpambazi
C H A M P
7 months
Hiki kilikua chuma kweli kweli. Enewei RIP 🙏🏿
Tweet media one
17
63
1K
@mpambazi
C H A M P
2 years
Samaki wetu (Mgebuka) siku hizi ameacha kutoa maji sijui amekufa!!🥸🥸
Tweet media one
75
21
1K
@mpambazi
C H A M P
2 months
Mayai ya @ExMayorUbungo ndio mayai pekee unayoruhusiwa kula kwa awamu tatu kwa siku yaani asubuhi, mchana na usiku bila kuwa na wasi wasi wowote. Sio kila mayai ni mayai ila mayai na Bon Yai nikiboko. #UtanishukuruBaadae
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
125
92
1K
@mpambazi
C H A M P
4 years
BARUA KWA CCM Leo nyinyi mmeshika Dola fanyeni mema zaidi kwa jamii maana mwisho wenu umekaribia kama tunavyozaliwa na kufa. Wapinzani nao wataishika Dola ndipo mazuri na mabaya yenu yatapimwa kwenye mzani. UKWELI HAUFICHIKI ACHA UWOGA WAKO MPAMBAZI
95
83
1K
@mpambazi
C H A M P
4 years
Kigoma iko na Migebuka Bukoba iko na Senene Mwanza iko na Sato Arusha iko na Bangi Dar es Salaam iko nini?
585
27
1K
@mpambazi
C H A M P
3 years
Nani anatakiwa awahi kuamka asubuhi kati ya mwanaume na mwanamke?
144
20
1K