Simba haiwezi kufikia utulivu na mafanikio ya Yanga wanayopata sasa chini ya muundo wa sasa na chini ya uongozi wa sasa!
Achilia mambo ya kupigwa 5 kila siku mwakani wasipokuwa makini Simba wanashuka daraja!
Nikiwa form4 (2018) pale Bugene sec alitutembelea Mbunge
@innobash
na akazungumza nasi, aliahidi mwanafunzi ambaye angepata Div.1 Kama yake atampa zawadi. Mie nikapambana nakupata hio Div1. Mpaka leo namtafuta mh. Mbunge anipe zawadi pia namshukuru kwani aliniongezea ujasiri🙏
Nachokiona sasa nchi ni kwamba CCM HAIWEZI kuondoka madarakani miaka yote.
Kuna vyama pinzani vina miaka 30 viko kwenye kampeini huku mtaani ili havijawahi pata watu kama hivi, yani havina ushawishi tena
(✍🏻 na mwandishi wetu)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifuatilia na kusikiliza kwa makini mazungumzo na Wawekezaji na Wamiliki Wakubwa wa Kampuni za Korea wakati wa hafla maalum ya chakula cha jioni kilichoandaliwa na Wamiliki hao jijini
(✍🏻 na mwandishi wetu wa Mwanza)
SERIKALI YENU IPO IMARA- WAZIRI MKUU MHE. MAJALIWA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Swrikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ipo imara na inaemdelea kutekeleza miradi ya kimkakati
Amesema utekeleza wa miradi
Doro huna ubavu wa kuwafanya kitu hawa acha kujipapatua hapa! Utawafanya nini? Au unataka kuchunguza nini wakati barua iko obvious!?
Toaga ujinga wako hapa! Wewe unapenda mambo haya na huwezi kuyakemea na hakuna uchunguzi utafanya ni blah blah tu. kwenye bajeti yako umeogopa
MARIA SARUNGI KIPINDI BABA YAKO NI WAZIRI ULIKUWA MKAA UCHI KWA KUJIFANYA MWANAMITINDO.
Jamani msitete mtu msiyemjua, Baba yake Mariah Sarungi huyo Profesoo alikuwa ni moja wa mafisadi katika serikali ya Mkapa, ngoja niwaeleze kidogo mimi nimefanya kazi pale JKN international
(✍🏻 na mwandishi wetu wa Arusha)
KATIBU MKUU WA CCM DOKTA NCHIMBI ATUA MKOANI ARUSHA KUANZA ZIARA
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dokta Emmanuel Nchimbi akizindua shina la wakereketwa wajasiriamali, Tarime Group lenye wanachama 200 ambalo lipo eneo la Makuyuni
(✍🏻 na mwandishi wetu)
WAZIRI MKUU MHE. MAJALIWA ASISITIZA UWAJIBIKAJI KWA WATENDAJI HALMASHAURI
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amewataka watendaji wa Halmshauri ya Wilaya ya Nyag’hwale kuhasikiliza kero za wananchi na kuzipatia ufumbuzi
(✍🏻 na mwandishi wetu)
HAYA NI MAFANIKIO MAKUBWA SANA KWA RAIS SAMIA NA SERIKALI YA AWAMU YA SITA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia suluhu Hassan na Rais Yoon Suk Yeol wa Jamhuri ya Korea wameshuhudia utiaji saini wa Mkataba mmoja, Hati za Makubaliano (MOU) 2