ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿 Profile Banner
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿 Profile
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿

@LuganoEdomm

Followers
38,313
Following
16,557
Media
5,244
Statuses
45,676

Husband,Brother ,Teacher 🇹🇿 , Entertainer🎤|| C. E. O @naonavyema And Lugano kids shop 🏪👕 || #ASIYEBADILIKA VIDEO 📹 CLICK 👇To view my YouTube

Tanzania
Joined July 2015
Don't wanna be here? Send us removal request.
Explore trending content on Musk Viewer
Pinned Tweet
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
4 years
Naitwa LUGANO EDOM 🎤 🎤 🎤 GOSPEL MUSIC MINISTER NYIMBO ZANGU ZIPO YOUTUBE KATIKA CHANEL YANGU KARIBU UTAZAME AUDIO 🔉 NA UTAZAME VIDEO 📹 MUHIMU ZAIDI BONYEZA SUBSCRIBE 👇 👇 👇 BONYEZA RT Retweet moja Tu
56
454
988
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
4 years
CHUO GANI WANAONGOZA KWA wanafunzi wao kuwa BUSY na masomo... 😁
288
20
950
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
4 years
Mpwa aliye chora hii picha anapatikana kwa jina gani huku Twitter Tumuinue.. Kama huna wivu Retweet hii.. ✍️
Tweet media one
Tweet media two
26
191
741
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
5 months
Injili ya Kristo lazima Itangazwe ndugu zangu 🙌 👋
Tweet media one
11
47
714
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
8 months
Today is my wife birthday 🎂 🎂.... Happy birthday to her... I Love her so Much ❤️ ❤️ ❤️
Tweet media one
54
42
686
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
4 years
Biashara gani naweza kufanya bila kuwa na pesa?
131
9
553
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
4 years
UPO MKOA GANI 👇 Dar er salaam👋🏼 Zanzibar👋🏼 Tanga👋🏼 Moro👋🏼 Dodoma👋🏼 Singida👋🏼 Mbeya👋🏼 Ruvuma👋🏼 Rukwa👋🏼 Katavi👋🏼 Simiyu👋🏼 Mwanza👋🏼 Geita👋🏼 Arusha👋🏼 Kilimanjaro👋🏼 Mtwara👋🏼 Lindi👋🏼 Pwani👋🏼 Njombe👋🏼 Iringa👋🏼 Kigoma👋🏼 Tabora👋🏼 Mara👋🏼 Mungu ni mwema Kwetu sote.
195
12
533
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
4 years
KUMEKUCHA ✍️UNADHANI NI CHUO GANI HAPA?
Tweet media one
111
21
522
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
3 years
Kipindi unasoma ulikua mkali wa somo gani?
135
6
509
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
4 years
Ukiachana na Njombe Mbeya Iringa Makambako.. Wapi tena kuna baridi kali. ✍️
178
7
452
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
4 years
Huku Twitter kuna watu wanajifanya wanajua sana maisha ya mtaani. Alafu huwa mnawashambulia sana Graduaters 🎓 ebu Tuacheni kwani maisha ya chuo au shule ni rahisi. Nasemaje kama mnajua kusoma nirahisi na mtaani ni kugumu kuliko kusoma. NAOMBA MUENDE NA NYIE MKAENDEELEE KUSOMA😁
Tweet media one
66
18
449
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
5 years
MIKOA GANI UNA MAISHA SIMPLE. UKIACHANA NA MBEYA?
112
12
444
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
4 years
Chuo gani Hapa Tanzania wanafunzi wake WANAONGOZA KUWA NA Vitambi? Ukiachana na SAUT.. 😁
37
13
387
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
4 years
Hivi ukiwa na kadogo kako. Kakifeli Darasa la saba. Unakapeleka wapi jamani. Msaada.🌐
104
10
364
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
4 years
Asante Mungu. .. There is no me without you Jesus. NAONA VYEMA LEO. 😁 😁 MY Graduation 🎓 🎓 .. BACHELOR of Art with Education. ... One step...
Tweet media one
58
16
370
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
2 months
Hapa ni wapi Jamaniiii?
Tweet media one
30
10
381
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
4 years
Kitu gani huwa cha kwanza unakifanya asubuhi ukiamka?
55
6
353
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
4 years
Movie gani inakujia akilini?
Tweet media one
197
9
359
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
5 months
Bora kuchekwa na kudharauliwa kuliko kuwa ombaomba TOWN 👋
Tweet media one
11
21
369
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
4 years
Hivi PAZIA linaitwaje kwa lugha ya Kiingereza Wapwa? 😢
62
2
357
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
4 years
Usomi bila kazi ni sawa na mfano wa kitu gani Wapwa? 😔
33
13
343
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
4 years
Ukiachana na wali maharage. Chakula gani Waweza kupika kwa haraka Usiku. 😁
71
7
298
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
5 months
Hawa wana fanya nini kipya kwenye Muziki mbona wana Trend sana 😊😂
Tweet media one
10
9
314
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
4 years
Ukitoka Instagram na followers 30k ukija Twitter una followers 10 unaamua kukata tamaa unaona kama watumiaji wa Twitter wanajisikia sana. Kumbe wewe ndo unajisikia.
17
18
305
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
4 years
Samahani ivi Dotto ndiye nani huku Twitter.. Naomba mniambie nimjue basi.
31
5
289
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
4 years
🙌 Ukiachana na chakula nini kingine unaweza kula?
75
6
285
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
4 years
Wadau hivi FOREX mnapiga pesa?
36
0
275
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
4 years
Hivi kwa mfano ukipata Followers wengi utawafanyia nini?
48
10
272
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
4 years
Swali gani hupendi kuulizwa?
84
3
274
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
4 years
Hivi UGALI NA KABEJI ni Mtamu kweli?
44
7
270
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
3 years
Naomba Retweet moja tu kumsapot ndugu @mpambazi The CHAMP SOAP
Tweet media one
2
94
270
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
4 years
0
0
235
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
4 years
POMBE HAZINA FAIDA ACHANA NAZO SIGARA HAZINA FAIDA ACHANA NAZO HASIRA HAZINA FAIDA ACHANA NAZO kitu gani kingine hakina faida comment......
50
12
272
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
1 year
Kuwa mkweli Bila umeme Bila simu Bila internet Bila Mwanaume/Mwanamke Ukae hapa Peke yako miezi 6 upatiwe milioni 100 utakubali?😆👇🤦
Tweet media one
98
23
265
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
5 years
Tanzania nchi nzuri ya uoto wa kuvutia karibuni wageni @UtaliiTz @HKigwangalla .. Walio wahi kufika au kupita hapa ni location ya wapi? Kama hujui Retweet wengine wataje.
Tweet media one
100
32
257
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
1 year
Namshukuru Mungu kwa ajili ya hili pia... Engagement done. God is good.
Tweet media one
30
9
271
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
4 years
Mwalimu wa kweli. Hatongozi wanafunzi Hanyanyasi wanafunzi Hupenda wanafunzi Huishi vizuri na wanafunzi Ni kila kitu kwa wanafunzi Samahani walimu wenzangu sifa nyingine za Mwalimu wa kweli?..
19
16
246
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
4 years
Huyu madenge @rollymsouth ndio yule wa kwenye magazeti au mwingine Tu. 🤔🤔🤔🇹🇿✍️🤣😃
22
2
239
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
4 years
Haya mnayaitaje huko?
Tweet media one
100
4
247
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
4 years
Kwa mfano Nimehitimu chuo kikuu. Kitu gani cha muhimu nianze kukifanya mtaani?. ✍️
49
7
238
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
4 years
Akili huna. Mungu huna PESA huna.. Je unajivunia nini?
42
10
232
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
3 years
0
0
192
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
4 years
Samahani Jamani nataka Kwenda Dar es Salaam.. 😂 Nikifika DODOMA nashukia Wapi.
68
4
230
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
4 years
MWANA FA anaweza sana. Acheni roho Mbaya...
12
5
211
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
5 years
Happy birthday 🎂 kwangu. Asante Mungu kwa kunipatia siku mpya tena. Jina lako litukuzwee
Tweet media one
41
8
214
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
4 years
Umemaliza darasa la saba mwaka gani? 🙄.... Mimi 2009 wewe je. ✍️
46
0
209
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
4 years
Sunday
Tweet media one
8
3
224
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
4 years
MAN 👨 UNITED kwa kiswahili tunaiitaje?
33
1
212
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
3 years
Eti Dar es Salaam ipo wapi hapa Tanzania 🇹🇿?
31
1
205
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
4 years
Samahani Eti PAZIA kwa Kiingereza munaliitaje?
48
5
213
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
4 years
Hivi ni mkoa gani unaongoza kwa Uchawi Ukiachana na Mbeya. 😁 😁
36
4
198
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
4 years
Naomba Mda huu Tuinuane Kidogo Kama Uko below 10k kama mimi like na ku comment hapa kisha Follow Wale Wote Watakao Like Comment Yako Pia wanakufollow back Tunainuana sisi kwa sisi 🙏
37
11
194
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
4 years
Wakikufollow una wa unfollow alafu unasema Niinueni wapwa. 🤗
29
5
189
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
4 years
Akili huna. YESU huna PESA huna Je unanini ndugu yangu.
26
6
204
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
4 years
Nikitaka kwenda morogoro napanda gari gani.
65
2
189
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
4 years
Hivi SUPU kwa Kiingereza inaitwaje?
47
1
185
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
4 years
KUMEKUCHA KUMEKUCHA kuwa na Yesu maishani mwetu ni vyema 🚶‍♂️
13
4
190
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
4 years
Week hii nahitaji nikamilishe mzunguko niwe na friend 10k. .. 🤝🏼 🤝🏼 🤝🏼🤝🏼 Wale wa kuinuana twende kazi.... .. Kama una Follower chini ya 5000 Retweet kisha Coment na make sure unawafollow wote walio Retweet hii post..
26
20
190
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
4 years
JESHI LA WAPWA LIPO KAZINI.. wewe bonyeza Retweet uone mabadiliko ya Followers wako. ✍️ 😀
34
32
182
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
4 years
Umemaliza darasa la saba mwaka gani?
60
2
190
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
4 years
Emoji gani umetumia sana 2019? ..
47
3
179
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
4 years
Bwana Yesu Kristo asifiwe sanaa. Kwa majina yangu Ninaitwa LUGANO Edom. Ni mwimbaji wa nyimbo za Injili. Napenda kuukaribisha Katika Chanel yangu ya YouTube. Utazame na kusikiliza nyimbo zangu. Usisahau KUSUBSCRIBE na kushare kwa wengine . Artist ;Lugano Edom
Tweet media one
10
20
186
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
3 years
0
0
172
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
4 years
Kuanzia leo mimi ni Mwalimu. Lugano Edom. . Walimu wenzangu mnisaidie Kuretweet tujuane Mapema. Wale wenye connection za Kuhitaji waalimu wa masomo ya SANAA (ARTS) Nipo hapa.. 😁 Waalimu Retweet please.
Tweet media one
14
19
180
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
6 months
Taja rafiki yako ambaye ukila nae mnamaliza hiki chakula🤔
Tweet media one
17
8
190
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
4 years
Ukiwa na Hasira huwa una Maliza vipi hasira zako?
32
5
168
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
4 years
Ukipatwa na hasira huwa unamaliza vipi hasira zako.
39
5
171
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
4 years
🙌 Jina lako Lapita majina yote. Milele nitakusifu. Wewe ni mwamba wangu. Kwako nimekimbilia.
8
14
171
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
4 years
Sabuni mpya kutoka kwa mpwa @mpambazi_
Tweet media one
5
11
170
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
4 years
Samahani naweza pata Rt Moja Tu kutoka kwako 👇 👇
Tweet media one
1
133
171
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
4 years
🙌 Mimi ni Mzaliwa wa jiji la Mbeya. Wewe je? .. Jivunie mji wako....comment hapo chini. Kisha retweet post hii. 👉
29
0
160
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
5 years
Habari ndugu yangu. Naitwa Lugano Edom. Nipo jijini Mbeya. Ni mwimbaji wa nyimbo za Injili. Nimekuletea video mpya yenye pambio ya kumtukuza Mungu. Naomba saport yako kwa kuitazama na kutoa maoni yako. Pia . Nisaidie kuitazama na kusambaza 👇👇RETWEET
8
35
166
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
1 year
0
0
169
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
4 years
Hivi ni nani anayetoaga Majibu kwenye CALCULATOR?
18
8
163
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
5 years
HUKU TWITTER UKIWA NA FOLLOWER WACHACHE UKIPOST KITU KIZURI KINAIBWA NA WENYE FOLLOWER WENGI. HAHA 😂 hua nashangaa sana. Kama wewe unakwazika na katabia kawizi wa post Retweet hii iwafikie wote wenye tabia za Wizi wa tweets za wengine. 😄 😁 #UPEPOwakisulisuli
11
34
155
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
4 years
Ameolewa alafu anatamani kurudi kwao. 😁 Je huyo ni nani?..... 😁 . Majibu yawe mafupi mafupi mda mchache... 😁
19
2
155
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
4 years
Hii dunia sio yetu lazima kila mmoja ampende mwenzake... ✍️
8
4
165
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
4 years
Swali gani hupendi kuulizwa?. ✍️ ..
25
0
159
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
4 years
Kwa mfano ukienda kuretweet pinned post yangu. Unadhani kuna kitu kitapungua kwako?
8
2
161
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
4 years
Shabiki wa Manchester United tuna lala saa ngapi? 😂
9
0
161
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
4 years
Huku Twitter kuna kona zina vibaka aisee. Wanaiba Tweet zetu. 😂 😂 😂
9
4
158
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
4 years
Hivi ukiachana na @mpambazi_ nani mwingine ana like na Retweet nyingi kwenye #MoGifts2020
11
4
162
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
4 years
KUMEKUCHA KUMEKUCHA KWA YESU RAHA SANA MIMI NAONA VYEMA 🚶‍♂️
4
7
155
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
4 years
Karibuni Mbeya Wadau. MBEYA. MBEYA kuna chakula cha kutosha bei rahisi Matunda usiseme Hali ya hewa ina change kila dakika Mboga mboga usiseme yaani. #amazingMbeya
14
12
161
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
4 years
Sigara zinasababisha mdomo kuwa mweusi Mapafu yanaungua yanakuwa kama mkaa Tena kijana utakufa kwa ugonjwa wa mapafu Figo zitafeli ACHA SIGARA SIGARA NI HATARI. ...
17
14
159
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
4 years
LECTURE WA SOMO GANI HUMPENDI AU ULIKUA HUMPENDI. ULIPO KUWA CHUO? 🎓😁
33
1
149
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
4 years
@Kinglamarr___ NAONA VYEMA
0
0
139
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ��ĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
4 years
Kigogo yupo kwenye mitihani ya Form Six si ndio 😀 😄
13
4
156
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
4 years
Ukimkuta mama anafanya Biashara yeyote muunngishe sababu ANATAFUTA PESA YA KULISHA FAMILIA YAKE. .. .. Nawapongeza wakina mama wachapa kazi.
6
11
153
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
4 years
Dalili za kuachwa na mpenzi wako ni zipi?
21
2
154
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
4 years
KUMEKUCHA KUMEKUCHA KWA YESU RAHA SANA MIMI NAONA VYEMA 🚶‍♂️
3
1
149
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
4 years
Njaa inaniuma nifanyeje wapwa? 😊
39
6
159
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
4 years
KUMEKUCHA KUMEKUCHA KWA YESU RAHA SANA MIMI NAONA VYEMA 🚶‍♂️
5
4
148
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
4 years
KUMEKUCHA KUMEKUCHA KWA YESU RAHA SANA MIMI NAONA VYEMA kuwa na Yesu maishani mwangu. ✍️
2
6
151
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
4 years
0
0
131
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
3 years
Nikitaka kupika PILAU NAANZA NA NYANYA kisha kinafuata nini?
13
1
144
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
4 years
Mtu aliyekasirika kwa kilugha chenu anaitwaje?
7
4
141
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
4 years
Hivi Mbeya hakuna mwenye mtaji aanzishe kiwanda cha Juice ya Embe? ... Eti kaka @LusakoWaKwanza unasemaje?
6
2
143
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
4 years
Ukiachana na iPhone simu gani nyingine Haitoshi mfukoni. 😂
5
8
142
@LuganoEdomm
ĽÚĞĂŃÓ ÈĎÓM 🎤 🎶 🎧 🇹🇿
8 months
Hakuna kama mama. Mungu awabariki wakina MAMA popote walipo. ✍️
Tweet media one
7
19
155