WHYMYCATISSAD Profile Banner
WHYMYCATISSAD Profile
WHYMYCATISSAD

@INFLUENCERjr

Followers
279,470
Following
2,477
Media
12,163
Statuses
223,868

Only Person on X who doesn't Claim to be a Social Media Guru.

Dar es Salaam, Tanzania
Joined March 2019
Don't wanna be here? Send us removal request.
Explore trending content on Musk Viewer
Pinned Tweet
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
4 years
Kila mtu anachotaka ni kujiondoa kwenye duara la umasikini... tupeane support,tuvumiliane,tupeane connection,tuombeane na tupendane
78
210
1K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
9 months
Huyu jamaa anajua bhana🙌🙌
Tweet media one
34
50
3K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
1 year
Kuna Police afu kuna huyu jamaa🙌
Tweet media one
273
123
3K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
3 months
Ni bora wakusake na Osama na genge lake kuliko kusakwa na huyu mwamba pekeake 😂😂😂
Tweet media one
312
118
3K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
1 month
Kuna mtu amewahi kumuona Muhogo mchungu akiwa kijana???
Tweet media one
224
123
3K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
11 months
Kwahiyo ile million 10 yake imerudi na faida juu🙌 Akili mtu wangu
Tweet media one
77
52
2K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
1 year
Nani yupo nyuma ya Fei Toto?🌚
Tweet media one
80
37
2K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
1 year
Mayele ameshaanza kuwa Mswahili 😂😂
Tweet media one
69
54
2K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
11 months
Wachezaji wa mpira x Makocha ambao wamebadilisha muonekano wa meno yao😁⚽ Uzi 🧵🔥 1. Saido Mane
Tweet media one
58
83
2K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
1 year
Kwa Wale waliosoma Cuba tu😁
535
196
2K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
2 months
Kwahiyo mlisema hawa wauza madafu ni watu wa system sio???
Tweet media one
159
67
2K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
2 years
Kesi ya Sabaya imekufundisha nini ?
327
52
2K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
2 years
Tumefika mbali sana.
Tweet media one
303
61
2K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
2 years
Weka Nyumba Bayern win Chesi win Liver win Man City win Spurs win Madrid win Atletico win Barca win PSG win Lyon win Marseile win Celtic win Ajax win Feneyoord win RB Salzburg win Huu mkeka ukichanika niulizwe mimi.
511
116
2K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
1 year
Mzamiru sisi kama wana Simba hatuna cha kukulipa atakulipa Mungu.
Tweet media one
19
55
2K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
7 months
Aliyemsajili huyu jamaa hatuna cha kumlipa atalipwa na Mungu.
Tweet media one
36
59
2K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
1 year
Konde anapenda kutembea na upepo😂
Tweet media one
136
33
2K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
5 months
Lilikuwa ni suala la muda tu Zimbwe Jr kurudi timu ya Taifa.
Tweet media one
7
28
2K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
10 months
Emmanuel Okwi ametimiza miaka 30 mwaka huu.
Tweet media one
204
42
2K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
1 year
Mayele ameanza kuwa Mswahili siku hizi 😂
Tweet media one
44
38
2K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
2 years
Mtu ana degree yake safi kabisa lakini hawezi kutumia Excel 😭😭😭🤣🤣
214
75
2K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
2 years
Chama this, Chama that
Tweet media one
289
67
2K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
2 months
Miaka inaenda kasi sana aisee 🙌🙌🙌
Tweet media one
Tweet media two
157
84
2K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
9 months
Aliyemsajili Ngoma ni peponi moja kwa moja.
Tweet media one
34
59
2K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
10 months
Sisi kama wana Simba hatuna cha kukulipa kwa kazi yako ya kutukuta atakulipa Mungu👏
Tweet media one
9
88
2K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
1 year
Kwa wale wakali wa movie hii ni Movie gani?
Tweet media one
244
49
2K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
11 months
Mastaa wa sasa Enzi za utoto wao na mastaa wa kipindi icho 1. Kylian Mbappe & Cristiano Ronaldo
Tweet media one
8
39
2K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
1 year
Huyu jamaa anaujua bhana🙌
Tweet media one
52
41
2K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
1 year
Nilipiga mlango na kasia paaah mlango ukafunguka
Tweet media one
115
50
1K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
6 months
Simba tunahitaji kocha kama huyu jamaa
Tweet media one
115
33
2K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
1 year
Kila mbabe na mbabe wake😂🤝
Tweet media one
48
21
1K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
1 year
Robertinho appreciation tweet 🙌 Retweet bila sababu
Tweet media one
8
248
1K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
4 years
Unaeza kuuza cm yako umpeleke mama hospital? ?
416
40
1K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
1 year
Moja ya sajili ya kitapeli kuwahi kutokea duniani.
Tweet media one
127
68
1K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
4 years
Wapwa kama wapwa tumeamua kuinuana 🙌🙌🙌 Weka handle yako hapa 👇
572
87
1K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
2 years
Kuna kile kipindi umemaliza chuo huna mishe umerudi home life linakua ngumu ileile, demu wa chuo anakuacha,kupata hela ya vocha tu inakua ishu,nguo ulizotoka nazo chuo zinaisha,USB ikiharibika ni msiba😂, sandals zinaisha yaani unakua nusu mtu nusu chuma🙌🙌🙌
134
130
1K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
4 years
Ukiachana na @kigogo2014 ni nani mwingine anakufanya uingie twitter kila siku? ?
454
30
1K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
11 months
Hizi habari za kwenda shirikisho mbona imekuwa ghafla sana?
Tweet media one
60
31
1K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
4 years
WANACHUO unapata wapi nguvu ya kutongoza demu huku kitaa? ? Hela huna unataka kumpa nini, ?? 😅😅😅😅
371
36
1K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
1 year
Ukimaliza chuo ukarudi home afu huna mishe...inafika wakati buku ya vocha inapatikana kwa mbinde mno,afu ghafla USB inakufa, sendo zinaisha, Simu inaanza kuzingua, ndevu zinakuwa kwa kasi, haujatulia vizuri demu wako wa chuo amekuacha...ghafla demu wako mpya siku zake hazioni🙌
142
134
1K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
2 years
Mkeka wa kibingwa😎 Yanga win Chelsea win Dortmund win Benfica over 2.5 RB Leipzig over 2.5 PSG over 2.5 Ac Milan win Madrid win Weka Figo
205
86
1K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
6 months
Usiseme kitu wewe repost na upite 😂😂😂😂😂😂😂😂
Tweet media one
57
410
1K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
2 years
Mimi nitakuwa mtu wa mwisho kugombana na mtu kisa Dini, kwasababu hakuna aliye chagua kuwa upande alipo...mimi nimezaliwa kwenye familia ya wakristo ndio maana nimekua mkristo lakini ningezaliwa kwenye familia ya kiislamu ningekua Islamic pia. Don feel to special mwaisa
120
176
1K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
10 days
Angekuwa amekuja na ndege angeimbwa sana kweli Bongo bahati mbaya.
Tweet media one
7
25
1K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
4 months
Ibrahim Bacca appreciation tweet beki wa mpira 🙌
Tweet media one
12
56
1K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
4 years
Mti mmoja wa Mpapai una uwezo wa kutoa matunda 40 kwa Msimu ambako heka ya papai inachukua miche 1000/2500 ukiamua kuuza kwa bei ya jumla kwa papai moja 300/=Kwahiyo ukichukua 300×40×1000 unapata faida ya 12M ukitoa 3M ya uzalishaji unabakiwa na faida ya 9M. Changamoto zipo.
Tweet media one
211
85
1K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
5 months
Usiseme kitu wewe repost na upite 🙌🙌
Tweet media one
9
210
1K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
1 year
Kigheto ghetto ukijipikia ni gharama kuliko kwenda kula mgahawani.
122
52
1K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
7 months
Kumbe ulikuwa ni mtego tumtoe ahly tukutane na Mamelodi?? Tumeshtuka sisi sio wajinga 😂
Tweet media one
27
41
1K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
2 years
Rolimodo 🙌🙌🙌
Tweet media one
193
57
1K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
1 year
Unaanza na nani kwenye timu yako🌚
Tweet media one
186
23
1K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
3 months
Usiseme kitu wewe repost na upite 😂😂😂
Tweet media one
57
681
1K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
5 months
Sasa hapa Konde boy alikuwa anajaribu kusema nn
Tweet media one
67
35
1K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
4 years
Hivi ukitaka kumjua mwanamke wa ndoto zako unafanyaje? ?
753
40
1K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
2 months
Kumbe wauza madafu wanaruhusiwa ikulu?? Au michezo? 😂😂😂😂
Tweet media one
122
50
1K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
6 months
Itoshe kusema Afrika hakuna mshambuliaji bora kwa sasa zaidi ya Shalulile 🙌🙌
Tweet media one
27
25
1K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
1 year
Unaambiwa Azizi Ki huko kwao anajiita Chama😁
Tweet media one
51
30
1K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
1 year
Kuna wachambuzi walisema Manula aumwi amejivunja kuiogopa Yanga leo wamejikausha
Tweet media one
56
57
1K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
9 months
Huyu bwa mdogo anaubonda sana ni Saliba mtupu🙌
Tweet media one
12
33
1K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
2 years
Aiseee!!!!
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
512
76
1K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
1 year
Nimeenda dukani na 5000 nimefanya matumizi ya 1500 muuzaji amenirudishia 8500 nimesimama sana kabla sijafanya maamuzi ya kuondoka 😁🤦‍♂️
Tweet media one
157
61
1K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
3 years
Hivi Mmeshagundua Watoto wa 1991,1992,1993, 1994, 1995 looks more younger kuliko children of 2000,2001,2002,2003?
125
56
1K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
3 months
Don't let that Pacome Perfomance go without Praise 🙌
Tweet media one
7
57
1K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
9 months
Firmino ameenda juzi tu tayari ana hat trick afu Ronaldo yupo mwaka unaisha hana hat trick. Goat wa Saudia 🐐
Tweet media one
51
40
1K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
1 year
Kama funzo ameshalipata Yanga wamuache kijana ajitaftie ugali wake ana familia inamtegemea.
Tweet media one
111
28
1K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
7 months
Aliyemsajili Chemalon ni peponi moja kwa moja.
Tweet media one
15
49
1K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
9 months
Unbeaten 25✅ Points 6 kileleni ✅ Simba ya asali na maziwa 🦁
Tweet media one
15
37
1K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
3 years
Jeans zinazouzwa 19k vunja bei zinachanika kama khanga
150
31
1K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
2 years
Msaada Tutani. Nisaidie ni Body spray gani mzuri kwa mwanaume
200
57
1K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
10 months
Mwana Msimbazi weka Retweet bila sababu yoyote
Tweet media one
16
414
1K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
3 months
Moja ya wachezaji ambao wamepita Simba na akapendwa na kila mtu. Larry Bwalya 🙌
Tweet media one
19
44
1K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
1 year
Huyu Roma wa Nipeni maua yangu ndio yule Roma wa Viva na Mr President 🙌🙌🫡🔥👑
Tweet media one
49
53
1K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
3 years
Hakuna mwanamke mlevi mwenye mwanaume mmoja...niko njombe njooni mniuwe🙌🙌
87
36
1K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
3 years
Kila mtu anachotaka ni kujiondoa kwenye duara la umasikini... tupeane support,tuvumiliane,tupeane connection,tuombeane na tupendane
69
218
1K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
1 year
Mtu akipewa penalty anakosa afu leo anaanza kupiga yowe ooho sina goli la penalty
Tweet media one
80
46
1K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
1 year
Ajira ni janga la kitaifa 🙌
Tweet media one
90
47
1K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
1 year
Limekuwa jambo la kitaifa?🌚
Tweet media one
55
25
1K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
1 year
"Kuna tofauti ndogo sana kati ya msimamo na kiburi"
Tweet media one
49
53
1K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
1 year
Watoto wa 2000 hawawezi kuelewa
Tweet media one
148
58
1K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
3 years
Mzee wako akisha fariki ndio unakuja gundua kwamba ndugu upande wa baba sio jamaa zako.
83
49
1K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
1 year
Better than Haaland 🙌
Tweet media one
27
16
1K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
3 years
Tafuta hela Mwanao asije kushangilia Msanii kukosa Tuzo mitandaoni.
89
64
1K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
2 months
Hii mechi ipite tu wanetu wapumzike 😂😂😂😂
Tweet media one
39
46
1K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
1 year
Ule ubishi bado unaendelea?
Tweet media one
Tweet media two
71
41
1K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
2 years
Kipindi hicho UCL tulikua tunaangalia channel 10😁😁
139
26
1K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
2 months
Kwa Mungu hakuna kuwahi wala kuchelewa wakati wa Mungu ndio wakati sahihi.
Tweet media one
13
32
1K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
9 months
Aliyemsajili Che Malone anaenda peponi moja kwa moja
Tweet media one
25
46
1K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
2 years
Hii Nchi uhuru umepitiliza sasa
Tweet media one
216
45
1K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
1 year
Usiseme chochote wewe Retweet upite🐐 #NguvuMoja
Tweet media one
16
452
1K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
6 months
Angemaliza kwa kusema hii iwafikie Jux na jeshi lake 😂😂
28
110
1K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
2 months
Ila wabongo wanapenda vita aisee sasa kama huyu wanamfanyaje??? 😂😂😂😂🙌🙌
Tweet media one
82
55
1K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
9 months
Mwanetu utakula sana mbao bora hata ungeenda zako Singida.
Tweet media one
14
26
1K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
11 months
Wachezaji ambao ni marafiki tokea enzi za utoto. Namba 9 inakushangaza 🧵 1. Cristiano Ronaldo & Ricardo Quaresma
Tweet media one
9
29
1K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
1 year
Hatimaye tumeongeza mwaka mwingine leo, Mungu ni mwema 🎊👏
Tweet media one
245
104
1K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
2 years
Tuongee serious kidogo hivi hawa mashabiki wa Man City wametokea wapi?
175
33
1K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
1 month
Wakuu pamoja na ubora wa timu yenu bado mnaamini “baraka za wazee”??? Mtuonee huruma 😂😂😂😂
Tweet media one
34
29
1K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
2 years
Tuwachanganye watoto wa 2000
Tweet media one
118
47
1K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
1 year
Kwahiyo huyu ndio mlikuwa mnalalamika anambania Samatta?
Tweet media one
33
19
1K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
10 months
Mwana Simba weka Retweet yako kama is hata ya kukubali jezi kali🙌🔥
Tweet media one
28
269
1K
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
1 year
Kombe la dunia la mwaka huu kumpiga muhindi uwe na Mungu 😂😂🙌
86
40
1K