hakuna kitu mbaya ka kugotea smallwig mwenzako then akue na audacity 😮💨 ya kuku- ignore ☔😂😂like naweza kugawia followers n still be ahead of you niccur 🙂✨
pov: (your experience with a roommate)
kuna dame tulikua tunakaa na yeye 😂😂 tukazoeana mpaka alikua ananyamba tu fwaaa-fwaaa😮💨 ka jambazi! .....ikabidi nimfukuze gaddemmit 😪✨