Toni Profile Banner
Toni Profile
Toni

@itzjacton

Followers
65,342
Following
2,943
Media
10,750
Statuses
211,105

UDSM2016👨‍🎓||Chelsea Football Club||Yanga Sc||Digital Marketer|| #SokoLetu ||

Dar es Salaam, Tanzania
Joined August 2019
Don't wanna be here? Send us removal request.
Explore trending content on Musk Viewer
Pinned Tweet
@itzjacton
Toni
8 months
Hizi Hapa Series Kali Zinazohusu Madawa Ya Kulevya na rates zake as per IMDb. Ukitaka series hizi na nyingine nyingi kali basi mcheki @MvuviMovies || @ITexpertTz 1. BREAKING BAD (9.5)
Tweet media one
49
183
571
@itzjacton
Toni
4 years
Harmonize akishakuwa mbunge na akaenda bungeni. Spika: Mheshimiwa Harmonize tunaomba maoni yako juu ya muswada huu! Harmonize: I go die for my country. I go die for this bill. I go die for my people. I go die for my president. Asante mheshimiwa spika.
198
90
1K
@itzjacton
Toni
10 months
@premierleague 1. Chelsea🏆 2. Manchester city 3. Liverpool 4. Spurs
64
26
1K
@itzjacton
Toni
2 years
Afande Pogba. Watu ni wasiri mno.
Tweet media one
68
41
987
@itzjacton
Toni
2 years
Mr. World Cup, OCHOA.
7
75
936
@itzjacton
Toni
4 years
Mtag mwanamke mmoja humu unayemkubali kinouma hata kama huwezi kuwa nae!😂
359
15
817
@itzjacton
Toni
2 years
✅Benjamin Mkapa Stadium ✅Askari Monument ✅Maritime Control They Ower ✅Mountain Kilimanjaro ✅Soko Kuu Kariakoo ✅Kigamboni Bridge ✅Ngome Kongwe ✅Arusha Declaration Monument ✅Nyerere Square Dodoma ✅PSSSF Commercial Complex ✅Bismark Rock Ubunifu Wa Kimataifa✅🙌🏻🔥
Tweet media one
138
146
836
@itzjacton
Toni
4 years
Mtasema Bashite anaboa kama hamuwajui hawa watu.😀😀
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
242
42
788
@itzjacton
Toni
2 years
Kuna mchezaji wa kolo ashawahi kupata hattrick kwenye Champions League kweli?
93
12
763
@itzjacton
Toni
4 years
Ukweli usiopingika ni kwamba hakuna watu wanaoichukia CCM kama vijana waliomaliza vyuo 2015-2019! Kama upo kwenye hiyo rika huwezi kuisifia CCM labda uwe umenunuliwa! Trust Me!
81
51
702
@itzjacton
Toni
2 years
Nikiona mwanamke anaumizwa na mapenzi uwa nafurahi sana. They deserve that.
90
47
693
@itzjacton
Toni
1 year
Inaweza ikawekewa frame?😂
Tweet media one
23
28
671
@itzjacton
Toni
2 years
Weka Picha Yako Bora Ya Mwaka 2021.
234
27
620
@itzjacton
Toni
3 years
Uraibu wako mkubwa ni nini? 1. Mpira 2. Mziki 3. Video games 4. Movie 5. Pombe 6. Sigara 7. Mapenzi
268
14
605
@itzjacton
Toni
2 years
Sema @Big0047 ni nouma😂🙌🏻
Tweet media one
15
18
615
@itzjacton
Toni
4 years
Ngoma gani kali unaikubali kutoka kwa Fid Q?
202
14
586
@itzjacton
Toni
2 years
Ila Huyu Jamaa😂😂🙌🏻
Tweet media one
58
10
586
@itzjacton
Toni
4 years
Nimejaribu kukaa nalo moyoni ila nimeshindwa! Anyway, tuendelee kuangalia "movei" na subtitle sisi tusiojua kingereza.😀😀
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
129
26
561
@itzjacton
Toni
2 years
Kwamba Casemiro kasema anataka kubeba EPL akiwa na hivyo vimbwengo au?😂
35
8
553
@itzjacton
Toni
8 months
Wadada warembo 10 wanaocheza mpira wa miguu. 10. Ana Maria Marković (Croatia)
Tweet media one
103
24
581
@itzjacton
Toni
4 years
Kwahiyo dada yenu aliiba picha za kuku na akazitumia ili apate milioni moja?😀
80
17
553
@itzjacton
Toni
4 years
Mtoto wa 2000 si analika jamani?🤷‍♂️
191
8
538
@itzjacton
Toni
5 years
Manchester United Will Lose Today Manchester United Will Lose Today Manchester United Will Lose Today Manchester United Will Lose Today Manchester United Will Lose Today Manchester United Will Lose Today Manchester United Will Lose Today Manchester United Will Lose Today
75
66
530
@itzjacton
Toni
4 years
Hawa TMA ni matapeli kama ma-influencer make walitwambia leo litapiga bonge la mvua zaidi ya ile ya juzi!
70
13
531
@itzjacton
Toni
2 years
“Tuliwafunga Chelsea na Manchester United” Fc
25
18
520
@itzjacton
Toni
4 years
Tanzania tuna hawa raia; 1. Musiba 2. Bashite 3. Ndugai 4. Nikki wa II Sijui na wewe unafikria ninachofikria?
78
24
524
@itzjacton
Toni
4 years
Taja Jina La Mkoa Unaotoka Kwa Kutaja Kitu Cha Fahari Kutoka Mkoa Huo! Mimi: Senene
216
9
515
@itzjacton
Toni
5 years
Kuna Raia Bado Wanaamini Kuwa Mwanachuo Kudisco Ni Kwa Sababu Ya Kuendekeza Anasa Chuoni!
59
26
505
@itzjacton
Toni
4 years
Mchezaji gani anakujia akili ukiona hii picha?
Tweet media one
237
9
497
@itzjacton
Toni
4 years
Unaweza ukakaa siku nzima (24hrs) bila kumjulia hali mpenzi wako?
70
12
504
@itzjacton
Toni
9 months
+1🎂 God has been so good to me for the past 31 years🙏🏾
Tweet media one
186
82
519
@itzjacton
Toni
3 years
Dar es salaam kuna wanawake wazuri jamani.
62
7
490
@itzjacton
Toni
5 years
My young bro is no longer alive!😰 Pumzika mahali pema peponi mdogo wangu Wenceslaus. Tutakutana Mungu akipenda!🙏🙏
153
15
490
@itzjacton
Toni
4 years
Dondosha aina ya 📱 unatumia kutwiti. 👇 NB: Isiwe Tecno au Infinix.😎
233
10
481
@itzjacton
Toni
4 years
Unamtukana kimya kimya Kangi Lugola ukiwa mkoa gani?
76
12
479
@itzjacton
Toni
4 years
Ukiambiwa utoe kirefu cha ARV au tukupige risasi unadhani utapona?
63
9
472
@itzjacton
Toni
2 years
Kindly Retweet🙏🏽
Tweet media one
21
107
471
@itzjacton
Toni
3 years
Ukiachana na "Nancy Mkali Wao", ni parody gani unalolikumbuka lililotikisa hapa Twita?
37
4
459
@itzjacton
Toni
4 years
Nipe list ya drama/series zako 10 ulizoangalia na unazikubali sana. Mimi: 1. Prison Break 2. Homeland 3. Queen Of The South 4. Banshee 5. The Last Ship 6. Money Heist 7. Into The Badlands 8. Gu Family Book 9. Ingobernable 10. Designated Survivor Legoooooooo.👇
225
78
464
@itzjacton
Toni
4 years
Daaah.😆😆🙌
Tweet media one
96
39
455
@itzjacton
Toni
3 years
Thanks God. Uzee unaninyemelea sasa na sijaoa💪🏾 TO2️⃣9️⃣
Tweet media one
86
25
448
@itzjacton
Toni
2 months
Makamu @Arafat__AH 🔰
Tweet media one
0
7
478
@itzjacton
Toni
3 years
Miaka 13 Miezi 156 Wiki 676 Siku 4,745 Masaa 113,880 Dakika 6,832,800 Sekunde 409,968,000 Hiyo ndo hesabu kamili bila uroda.
50
12
442
@itzjacton
Toni
10 months
Football player || Omuchezaji
Tweet media one
Tweet media two
43
21
459
@itzjacton
Toni
3 years
Wimbo gani bora kwako kwa huu mwaka 2020?
103
7
433
@itzjacton
Toni
2 years
BYUTI BYUTI👍 Yule jamaa kawaingiza chaka😂
Tweet media one
7
22
449
@itzjacton
Toni
4 years
Mwenyezi Mungu Akuongoze Ikawe Wiki Njema Na Yenye Mafanikio Kwako Kiafya Na Kiuchumi.🙏
36
29
424
@itzjacton
Toni
3 years
🗣Quick Reminder. 16.08.2021
Tweet media one
31
34
414
@itzjacton
Toni
4 years
Hakuna mtandao wa simu kama Halotel kwa sasa hapa Tanzania.
52
12
418
@itzjacton
Toni
4 years
Ukimkuta chatu anammeza Ex wako utamsaidia nani? Chatu au Ex?😀
112
14
410
@itzjacton
Toni
4 years
Miaka 20 unaanika convo za wanaume. Ukifka miaka 30 hujaolewa unaanza kuwasumbua waganga wa kienyeji. Karma never forgets.
37
38
415
@itzjacton
Toni
3 years
Ni sababu gani kubwa inapelekea watu kuachana?
77
10
405
@itzjacton
Toni
4 years
Hivi kuna uhusiano gani kati ya kutumia iPhone na kutojibu texts?
45
8
412
@itzjacton
Toni
3 years
Kitu gani kinakupa nguvu ya kuendelea kupambana katika kuyatengeneza maisha bora kwako?
69
10
393
@itzjacton
Toni
3 years
Tukio gani kubwa ushawahi kupigwa kwenye safari yako ya mahusiano?
42
3
402
@itzjacton
Toni
3 years
Mashabiki wa Chelsea kesho mida ya saa mbili jioni tuwe na space yetu tujadili ushindi huu. Fika bila kukosa.
45
11
411
@itzjacton
Toni
4 years
Baadhi yakinda wanaotisha kwa sasa duniani: Abraham Halland Martinelli Sancho Pulisic Mount Reece James Lingard Zinchenko TAA Robertson
139
12
412
@itzjacton
Toni
3 years
Hii ni thread ya wafanyabiashara ambao nimekuwa nikiwaona hapa twita mara kwa mara. Sio kwamba ni hawa tu ila hawa ndo wamekuwa wakipita pita kwa TL yangu. Kama umesahaulika basi reply/quote tweet hii ili watu wakujue. @siimasoud anauza vyombo vya jikoni kwa bei nafuu.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
179
242
405
@itzjacton
Toni
4 years
Kuna pisi nimepanda nayo daladala inaenda Kunduchi. Braza unayemsubiria heshima yako aisee!🙌
40
7
407
@itzjacton
Toni
4 years
Dondosha jina la timu ya mpira unayoshabikia hapo chini👇👇 ⚠️NB: Manchester united sio timu ya mpira, ni kikundi cha wahuni
162
12
395
@itzjacton
Toni
4 years
28🎂💙
Tweet media one
107
17
400
@itzjacton
Toni
4 years
Hakuna mwanaume anayekwepa majukumu kwa mtoto wake kwa mwanamke anayejitambua.
26
33
395
@itzjacton
Toni
5 years
Kama kuna kazi ngumu duniani mojawapo ni kumshawishi mtu ambaye hajawahi kutumia Twitter aanze kutumia Twitter.
34
14
393
@itzjacton
Toni
3 years
I lost my bestfriend today. Kifo ni fumbo aisee🙌🏽
75
11
390
@itzjacton
Toni
5 years
I never knew kama siku moja ntakuja kwenda mochwari kuuchukua mwili wa ndugu yangu mpaka pale nilipoenda kuuchukua mwili wa mdogo wangu mochwari! Ni maumivu makali sana moyoni mwangu na familia nzima kwa ujumla ila kikubwa ni kumshkru Mungu kwa yote. Tumebaki watoto wawili sasa!
120
14
388
@itzjacton
Toni
4 years
Diamond fans wanaona ni sawa kumbully Kiba ila msanii wao akiongelewa kidogo wanakuja na "tumsapoti kwani ndo anawakilisha taifa" You Mfos kwani yeye ndo msanii wa kwanza kufanya show nje ya nchi, yeye ndo msanii wa kwanza kufanya kazi na wasanii wa nje! Stupid cunts.
74
33
385
@itzjacton
Toni
5 years
Kiufupi humu twita ushabiki wa mpira upo kwa timu tatu ndo kuna amsha amsha: ☆Chelsea ☆Arsenal ☆Man Utd
42
24
375
@itzjacton
Toni
4 years
Unaweza kukuta unatuvimbia hapa Twitter kumbe mbunge wako ni Ndugai au Musukuma.
25
11
387
@itzjacton
Toni
2 years
Mdogo wenu wa kike huyo anajitahidi sana kutaka kuwa fame kama wenzake. Litamkuta jambo, hatoamini.
42
9
385
@itzjacton
Toni
4 years
Kuna wepesi fulani mtu uwa unaufeel ukishatoka kumuabudu Mungu😊
Tweet media one
18
43
386
@itzjacton
Toni
4 years
Nyie watu, Christina Shusho ni mzuri aisee.
61
4
374
@itzjacton
Toni
4 years
Ukiachana na Logarithm, topic gani nyingine ilikupotezea muda wako ukiwa shule?
64
11
368
@itzjacton
Toni
3 years
Mashabiki wa Young Boys tawi la Mbezi Beach Tujuane hapa👇🏽👇🏽
30
12
376
@itzjacton
Toni
4 years
Ntafanya yote hapa Twita ila sio kuRT tweets za mtu anayejikuta spesho in such a way kwamba hawezi kuRT tweets za wengine au anachagua watu wa kuRT tweets zao.
29
50
366
@itzjacton
Toni
4 years
R. I. P Mahusiano Yote Yaliyokufa Kwa Sababu Ya Changamoto Ya Umbali!
22
12
372
@itzjacton
Toni
4 years
Kifo cha kwanza cha mgonjwa wa kwanza kimetokea tayari hapa nchini! Tuendelee kuomba ndugu zangu. Bila Mungu hatuvuki hapa.🙏🙏
29
14
351
@itzjacton
Toni
4 years
Mchezaji gani kafundishwa na hawa makocha wote?🤷‍♂️
Tweet media one
57
13
366
@itzjacton
Toni
5 years
Mchezaji gani alikufanya uipende timu unayoshabikia kwa sasa? Mimi: Frank Lampard (Chelsea)
Tweet media one
133
18
361
@itzjacton
Toni
4 years
Salio la akaunti yako ya benki linaweza kununua gari aina gani?😉
66
13
361
@itzjacton
Toni
4 years
Tuko kwenye kizazi ambacho mtu kuvuta sigara au kunywa pombe ndo anaonekana mjanja!
29
12
354
@itzjacton
Toni
4 years
Kati ya Manchester United na Arsenal ipi club ndogo zaidi pale England?
50
3
362
@itzjacton
Toni
4 years
Hivi kingereza cha "nahau" ni kipi?
44
6
353
@itzjacton
Toni
4 years
Telegram imenirahisishia maisha ya kupata Tv Series mbalimbali. Hata itoke leo kufika jioni unakuwa nayo.
42
16
356
@itzjacton
Toni
5 years
Endelea kujiona mjanja kwa kuwasikiliza Motivational speakers na kuona maisha ni rahisi kwa vile bado unasoma au unaishi kwa wazazi wako!
23
33
360
@itzjacton
Toni
4 years
Imagine kuna mtoto wa kiume hashabikii mpira na hivi tunavyotweet anaona tunamkera!😀
26
7
357
@itzjacton
Toni
3 years
Dada yenu ana depression. Muokoeni.
25
5
362
@itzjacton
Toni
4 years
Kitu gani kinakufanya uipende Twitter na sio mtandao mwingine?🤷‍♂️
68
8
341
@itzjacton
Toni
4 years
Ushawahi kumpenda mtu na kumuonesha kila aina ya upendo ila mwenzako hana hata habari? Hakika wanaume tumeumbiwa mateso😃😃😃
49
25
348
@itzjacton
Toni
3 years
Juzi Mlikuwa Mnapush Album Yake Mbovu. Leo Mnamsagia Kunguni Aende Nyuma Ya Nondo!
19
7
349
@itzjacton
Toni
4 years
Tufungwe na timu ina mtu kutoka Mbagala?😀
23
7
346
@itzjacton
Toni
4 years
Usimdharau Mtu Yeyote. Hatma Ya Maisha Yake Anayo Mungu, Sio Wewe!🙏🏾💙
17
25
334
@itzjacton
Toni
4 years
Unwanted Truth: Usimtukane wala kumdharau mwanaume mwenzako kisa mwanamke.
17
38
335
@itzjacton
Toni
3 years
Aliyemroga Aslay na kuficha nyota yake kimziki alitukosea sana wapenzi wa mziki wake.
24
7
332
@itzjacton
Toni
4 years
Alhamis Njema Wana Chelsea Tanzania!💙
Tweet media one
26
11
328
@itzjacton
Toni
4 years
Siku Zote Kinachomponza Mbu Uwa Ni Kupiga Kelele Wakati Anaitafuta Damu (Chakula) Na Mwisho Wa Siku Huishia Kuuawa. Fanya Mambo Yako Pasi Na Kupiga Kelele. Mheshimu Na Kumtanguliza Mungu. Acha Mafanikio Yako Yaongee Na Sio Wewe. Ukawe Na Siku Njema Ndugu.🙏
22
65
330
@itzjacton
Toni
4 years
Kuna muvi naangalia hapa ya kibongo, mchawi kavaa jezi ya Aseno!
17
10
322
@itzjacton
Toni
4 years
Wimbo mmoja unaukubali sana kutoka kwa Ali Kiba? Me: Mali Yangu
66
6
318
@itzjacton
Toni
4 years
Kitu gani cha kwanza kinakujia akilini ukiona rangi ya kijani?💚
65
6
323
@itzjacton
Toni
4 years
Mambo 10 madogomadogo ya kufanya kama unataka kuuteka moyo wa mwanamke unayempenda! (Kuhusu Pesa tuliache kwanza😀) Inawezekana unawa-approach wanakukataa na unadhani ni kwa sababu ya umaskini kumbe ni vitu vidogo vidogo😊😊 Shuka na mimi leo👇 [UZI] #ElimikaNaJacton
70
55
316
@itzjacton
Toni
5 years
Baada ya mwaka mmoja chuoni utaskia "sitaki kuwa na mwanaume ambaye hana kazi"
Tweet media one
51
13
318