Martin Maranja Masese
3 years
Wakuu, tangu juzi, wakati kesi inaendelea, nilijisikia vibaya, jioni jana hali ikabadilika sana, usiku mzima sijapumzisha mwili. Nimehangaika sana. Leo, nimekwenda kupima, nimekuta Malaria, UTI na Amoebiasis. Nimepata matibabu, natumia dawa, bado sijaimarika sana. Tuombeane.